Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa taarifa ya mazishi ya Askofu Mkuu, Novatus Rugambwa, aliyekuwa Balozi wa Papa nchini New Zealand. Askofu Mkuu Rugambwa alifariki ...