Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi anatarajia kutangaza Baraza la Mawaziri kesho Alhamisi, Novemba 13, 2025 Ikulu Zanzibar. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Naibu Mkurugenzi wa ...
Dar es Salaam. Yanga imekwea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex. Huu ndiyo mchezo ambao ...
Unguja. Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limetangaza kutoa punguzo la asilimia 80 ya tozo ya aridhio (Wharfage) kwa bidhaa zote za chakula zinazoingia nchini kupitia bandari zote zinazohudumiwa na ...
Dar es Salaam. Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tunisia, limemtaja Mbwana Samatta kama mchezaji wa kuchungwa zaidi katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' katika Fainali za ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetoa hati ya wito wa kufika mahakamani hapo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake watano, kuhusiana na sakata la kushikiliwa kwa ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza Jumatano Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa ili kuwawezesha Watanzania kushiriki katika shughuli ya kupiga kura. Kwa mujibu wa taarifa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Kuna ...
Babati. Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi.
Baadhi ya mawakala wa mgombea udiwani kata ya Masaba wilayani Butiama kupitia ACT Wazalendo wakiwa kwenye ofisi ya kata hiyo. Picha picha na Beldina Nyakeke Butiama. Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka, kuwafutia makosa vijana wote walioonekana kushiriki maandamano yaliyosababisha vurugu Oktoba 29, mwaka huu, kwa kufuata mkumbo, akisema... Rais ...
Nairobi. Eric Ominde, aliyekuwa dereva wa hayati, Raila Odinga kwa zaidi ya miaka 20, amesimulia simu ya mwisho aliyopokea kutoka kwa kiongozi huyo maarufu wa upinzani kabla ya kifo chake cha ghafla.
Dar es Salaam. Unaweza kudhani ni tamthilia ya OttoMan inarekodiwa mahakamani, lah hashaa! bali ni tukio halisi baada ya mtu mmoja ambaye alipaza sauti akiomba kutoka juu eneo wanalokaa wasikilizaji ...