Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Paris. Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy ameachiwa gerezani, ikiwa ni wiki tatu tu katika kifungo chake cha miaka mitano baada ya kupatikana na hatia ya kushiriki katika njama ya uhalifu.
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam, huku raia wakiendelea na majukumu yao ya kila siku. Baadhi ya maeneo Wilaya ya Ilala, askari hao ...
Dar es Salaam. Ukiacha makundi ya vijana, wanazuoni, watumishi wa umma na wanataaluma mbalimbali, uchukuaji fomu za ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), umewaibua mawaziri kadhaa ambao pengine ...
Neno Lugalo kwa wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam na Iringa, siyo geni.Kwa Iringa jina hilo linawarudisha hadi miaka ya 1891 wakati Chifu Mkwawa wa Wahehe alipokuwa akikabiliana na jeshi la Mjerumani.
Mgombea uenyekiti Chadema Taifa, Tundu Lissu akifurahia akiwa ndani ya ukumbi wa Mlimani City kabla ya matokeo rasmi ya uenyekiti wa chama hicho kutangazwa. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia ...
Hamidu Mwanga kutoka Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, alihitimisha kuwa ushahidi wa Jamhuri umethibitisha kuwa, Mussa Hamis alifariki na kifo chake hakikuwa cha kawaida. Katika sehemu hii, ...
Dar es Salaam. Jana mida flan hivi, mdogo mdogo wakati narudi nyumbani nikiwa natoka zangu Jangwani kupiga kelele na kina Mzize. Nikakumbuka mfukoni sina hata mia, mawazo yakahama kutoka Jangwani hadi ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...