Nchi 34 zimejihakikishia kushiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazounguruma nchini Mexico, Marekani na Canada, baada ya kukamilisha mchakato wa kufuzu.
Yanga imefikisha pointi 10 baada ya kushinda mechi zake tatu na kutoa sare moja, ikiwarudisha Simba hadia nafasi ya pili ikiwa na pointi tisa, sawa na Pamba Jiji iliyo nafasi ya tatu.
Fiston Mayele ametawazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Klabu za Wanaume katika Tuzo za CAF 2025, akihitimisha msimu wake ...
Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za ...
BEKI wa kimataifa wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Kelvin Yondani anayekipiga kwa sasa New King iliyopo Ligi Kuu ya ...
SIMBA Queens imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) baada ya kuitandika Bunda Queens mabao 3-0, mechi iliyopigwa ...
KIKOSI cha Azam FC kimeondoka jana Jumatano kwenda DR Congo kuwahi mechi ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ...
TIMU ya mpira wa kikapu ya Dar City kutoka Tanzania, inaendelea kufanya kweli katika mbio za kufuzu hatua ya nusu fainali, ...
KIUNGO mshambuliaji wa Singida Black Stars, Marouf Tchakei, amesema wanatambua ugumu wanaoenda kukutana nao mbele ya CR ...
SAFARI ya mafanikio huanza kwa maumivu kwa sababu kila hatua ya ukuaji inahitaji uvumilivu, kujitolea na kupambana na ...
KUNA msemo wa kiswahili usemao; ‘Mchawi mpe mwanao amlee’ ukimaanisha kwamba ukitaka usalama wa mwanao mpe mwanga amlee na ...
KOCHA wa Pamba Jiji, Mkenya Francis Baraza amesifu kiwango kinachoonyeshwa na beki wa kati wa kikosi hicho, Abdulmajid ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results